Anza safari ya kujifunza
30,000 - kwa mwezi - Tunakuunga group ambalo tunajifunza usiku saa 08:00 - 08:40/08:40 - 09:20.
Masomo yanakuwa kwa Video Call na Pia hata ukikosa kipindi, kipindi kinarekodiwa na kutumwa kwenye group. (mfano tumeweka hapa chini)
Muda ni : jumatatu - ijumaa (live dakika 40)
Masomo yetu yatachukua miezi 3 kukamilika.
Kwenye video call utaweza kuchangia mada kwa kuongea kabisa na sio kutuma ujumbe.