Tunawasaidia wafanyakazi, wazazi na wafanyabiashara, kujenga kujiamini kwa kuwafundisha kuongea kiingereza fasaha

Tunaelewa kwanini umekata tamaa

Njia za kujifunza

Haya ni masomo kupitia whatsApp ambayo ni dakika 40 kila siku jumatatu hadi ijumaa, Hii imegawanyika mara mbili, kama unataka kusoma private peke yako kama darasa za kuongea na kuandika, ada yake ni 150,000 kwa mwezi, ila kama hauna haja ya kuandika ungependa kufanya mazoezi ya kuongea tu kuongeza confidence, ada yake ni 99,000 kwa mwezi.

Masomo yanakuwa miezi 3 tu kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.

Masomo yanakuwa ya peke yako (private) kwa njia ya video live kwa dakika 40 kila siku, jumatatu hadi ijumaa.

Masomo yanakuwa miezi 3 tu kwa mtu ambae anajua kiasi na anatafuta kuboresha kiingereza chake, ila inachukua miezi 5 hadi 6 kwa mtu anaeanza mwanzo kabisa.

Download App yetu na uangalie video za masomo bure kwa wiki ya kwanza, baada ya hapo, utalipia 10,000 tu kwa mwezi. pia utapata chance ya kuungwa group letu la masomo.

Hii ni kwa watu hawa

Kama wewe ni mfanyakazi, mzazi au mfanya-biashara usiopenda kuungwa magroup, ila unataka kujifunza na kufanya mazoezi ya kuongea Kiingereza online ili ujenge kujiamini katika kuongea kiingereza na watu, hii ni kwa ajili yako.


kama unataka kuanza leo, bonyeza kwenye hatua za kujiunga.

Ufundishaji wetu ni mzuri

Karibu Ofisini

Tunapatikana Ubungo RIverside, opposite na shule ya msingi ya kibangu. piga 0686768181 au 0757845757.

Tunafanya kazi Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 09:00 - 17:30. kwa jumamosi na jumapili kutupata, tuma text whatsapp kwa namba +255686768181.